Kiswahili

Victoria Expeditions Safaris & Travels • +255 786288740
Common greetings: Salamu za kawaida
Good morning/ afternoon/ evening/ night Habari ya asubuhi/ mchana/ jioni/ usiku
Hello! Jambo!
A respectful greeting to elders, actually meaning “I hold your feet” Shikamoo
Their reply: “I am delighted” Marahaba
How are you? Habari yako?
-I am fine -Nzuri
-I am not feeling good today -Sijiziki vizuri leo
How are things? Mambo?
-Good / cool / cool & crazy -Safi / poa / poa kichizi
See you later Tuta onana baadaye
Welcome! (Welcome again!) Karibu! (Karibu tena!)
Goodbye Kwaheri
We or you? Sisi au ninyi?
I Mimi
You Wewe
He / she Yeye
We Sisi
You (plural) Ninyi
They Wao
On the move Kwenye mwendo
Where can I get a taxi? Teksi iko wapi?
Where is the bus station? Stendi ya basi iko wapi?
When will we arrive? Tutafika lini?
Can you show me the bus? Unaweza ukanioyesha basi?
How much is the ticket? Tiketi ni bei gani?
Is it safe walking here at night? Ni salama kutembea hapa usiku?
In the restaurant Kwenye ungahawa
Can I have the menu, please? Tafadhali, nipe menu
I would like to order Ninapenda kuagiza
Can I have some water, please? Tafadhali, naomba maji
I would like some chicken Mimi nataka kuku
Can I have the bill, please? Tafadhali, nipe bili
The food is very good! Chakula ni kizuri sana!
Facing the touts Kukutana na wasumbufu
Sorry, I don’t have time Samahani, sina muda
I don’t want to buy anything Sitaki kununua chochote
I have already booked a safari Tayari nimeisha lipia safari
I don’t have money Sina hela
I’m not single Nina mchumba
Could you please leave me alone? Tafadhali, achana na mimi
It is none of your business! Hayakuhusu!
About yourself Kuhusu wewe mwenyewe
Where do you come from? Unatokea wapi?
-I come from Norway -Mimi ninatokea Norway
How old are you? Una miaka mingapi?
-I am 25 years old -Nina miaka 25 (ishirini na tano)
What is your name? Jina lako nani?
-My name is … -Jina langu ni …..
How long have you been here? Una muda gani hapa?
-I’ve been here 1 day / week / month -Nina siku / wiki / mwezi 1 (mmoja)
What is your profession? Fani yako ni nini?
-I am a student -Mimi ni mwanafunzi
-I am working in a hospital -Ninafanya kazi hospitali
How much, did you say? Umesema bei gani?
1 mmoja
2 mbili
3 tatu
4 nne
5 tano
6 sita
7 saba
8 nane
9 tisa
10 kumi
100 mia mmoja
1,000 elfu mmoja
10,000 elfu kumi
100,000 laki mmoja
1,000,000 milioni mmoja
Animals Wanyama
Ant Siafu
Baboon Nyani
Buffalo Nyati
Cat Paka
Cheetah Duma
Chicken Kuku
Colobus Mbega
Cow Ng’ombe
Crocodile Mamba
Dikdik Dika
Dog Mbwa
Eland Pofu
Elephant Tembo
Fish Samaki
Gerenuk Swala twiga
Giraffe Twiga
Hartebeest Kongoni
Hippo Kiboko
Hyena Fisi
Impala Swala pala
Jackal Mbweha
Kudu Tandala
Leopard Chui
Lion Simba
Monkey Tumbili
Mosquito Mbu
Peacock Tausi
Pig Nguruwe
Oryx Choroa
Ostrich Mbuni
Roan Korongo
Rhino Faru
Serval Mondo
Snake Nyoka
Topi Nyamera
Vulture Dai
Warthog Ngiri
Waterbuck Kuro
Wild dog Mbwa mwitu
Wildebeest Nyumbu
Zebra Punda milia
When you’re hungry Unapokuwa na njaa
Fruits Matunda
Vegetables Mboga
Meat Nyama
Pork Nguruwe
Beef Ng’ombe
Mutton Mbuzi
Chicken Kuku
Fish Samaki
Pineapple Nanasi
Water melon Tikiti maji
Orange Machungwa
Lemon Limau
Banana Ndizi
Coconut Nasi
Carrot Keroti
Potato Viazi
Tomato Nyanya
Onion Vitunguu
Paprika Pili pili hoho
Mushroom Uyoga
Sallad Saladi
Milk Maziwa
Water (for drinking) Maji (ya kunwa)
Beer Bia / pombe
Soda Soda
Coffe (black / with milk) Kahawa (ya rangi / ya maziwa)
Tea (black / with milk) Chai (ya rangi / ya maziwa)
Hot Moto
Cold Baridi
Bread Mkate
Egg(s) Yai (mayai)
Butter Siagi
Back to Top